Posts

Yajue mambo ambayo humpa furaha mpenzi wako

Image
Uhusiano maridhawa katika ndoa ni kitu kinachohitaji kujituma kwa bidii kubwa. Ni kitu kinachohitaji subira, uelewa na upendo kwa pande zote mbili. Wakati unapenda kumfanya mwenzio kuwa mwenye furaha, kuna mambo kadhaa unayoweza kuyafanya kuhakikisha nawe unapata furaha. Ukweli kama hutofanya mambo haya matano, hutokuwa na zana sahihi zinazokupa furaha katika maisha ya ndoa yako: 1. Kumuamini. Imani ni ufunguo wa furaha katika maisha ya ndoa. Usipomuamini mwenza wako utaendelea kukosa utulivu na kuwaza kuwa yuko wapi, yuko na nani au anafanya nini. Stress na mashaka utakayoyapata kutokana na wasiwasi na hisia za kuhisi kile anachofanya vitakuondolea furaha  yako. Ili uwe na furaha unatakiwa kuwa na imani, kumuamini. Imani inaweza kuchukua muda mrefu kuijenga, lakini ni kitu nyeti sana. Hakikisha unamweleza mwenzako wasiwasi wako pindi jambo fulani linapokuwa haliko sawa. Inaweza ikawa ni kutoelewa tu, lakini ukiiruhusu shaka ishike hatamu, inaweza kugeuka kuwa tatizo kubwa zaid...

Kama unataka kudumu katika mahusiano yako epuka kumwambia mpenzi wako maneno haya

Image
Endapo umekwisha ingia katika mahusiano au unatarajia kuingia katika mahusiano ya kimapenzi, yapo mambo yanyofaa ambayo junaweza kumwambia mpenzi wako naye akafurahi, lakini yapo mambo ambayo kimsingi hupaswi kabisa kumwambia mpenzi wako. Kwani endapo utaamua kumwambia utatengeneza njia ambayo itawafanya mahusiono yenu yafe mara moja. Maneno yafuatayo ni hatari kwa kuwa yanaleta madhara makubwa moyoni mwa mlengwa na ni vyema kuzuia kuyatamka kwa namna yoyote ile. Maneno  Mabaya Ambayo Hutakiwi Kusema Kwa Mwenza Wako: 1. Nakuchukia Chuki ni kitu kikubwa sana,kwa kweli huwezi kuishi na mtu ambaye unamchukia. Hutakiwi kumtamkia mwenza wako neno hili. Unaweza kuchukia tabia yake lakini si yeye mwenyewe. Njia nzuri ni kusema kuwa “Nachukia au sipendi tabia yako ya kuchelewa kurudi nyumbani” au maneno yanayofanana na hayo. 2. Maneno ya Matusi Maneno kama “mjinga” au “mpumbavu” yasitumike kwa mwenza wako hata kama yana ukweli ndani yake. Japo ujinga ni kutofahamu kitu fulani lakini nen...

Sababu yatajwa Wanaume Wenye Umri Mdogo Kutunga Mimba Haraka Wanawake Wenye Umri Mkubwa

Image
Utafiti uliofanywa na Chuo kikuu cha Havard nchini Marekani uliowashirikisha wanawake 2000 na kubainisha kuwa uwezo wa mwanamke kushika ujauzito hupungua kadri umri unavyosonga na imeonekana kuwa mwanamke anaweza kuongeza uwezo wa kupata ujauzito kama mwenza wake atakuwa na umri mdogo. Umri wa mwanamke unaweza kuwa tatizo lakini. dawa ni kuwa na mwanaume aliyemzidi umri kwani anakwenda kuyaamsha” amesema Daktari Gillian Lockwood. Watafiti walisema kuwa wanawake wana bahati sana kwani mbegu za uzazi wa mwanaume waliowazidi umri huyapa nguvu mpya mayai yao. Na utafiti huu ulibainisha kuwa wanaweke wenye wenza waliowazidi umri au kuwa sawa nao hawakufanikiwa kushika ujauzito kwa haraka tofauti na wanawake wenye waunaume wenye umri mdogo maarufu kama Ben ten. Wanawake wenye umri kati ya miaka 35 au 40 wenye wenza wa umri wa chini ya miaka 30 walifanikiwa kushika ujauzito haraka. Lakini pia utafiti huu ulibainisha kuwa wanawake chini ya umri wa miaka 30 wenye wenza wa kuanzia miaka 40 kw...

Zitambue DALILI za Mwanamke Anayetaka Kuachana Nawe Katika Mahusiano

Image
Kuna tofauti kubwa ya kimaamuzi kati ya mwanaume na mwanamke kwenye suala la kuachana. Inaelezwa kwamba, wanaume ni rahisi kuamua ndani ya dakika moja na kutangaza kuvunja uhusiano, lakini kwa wanawake maamuzi yao mara nyingi hutanguliwa na dalili, ingawa hata wanaume nao wanazo. Uchunguzi unaonesha kuwa, wanawake wengi hawawezi kuficha sana hisia zao za mapenzi, lakini pia kwenye chuki hawakujaaliwa uvumilivu. Wanasaikolojia wanakiri kwamba, kutambua mawazo yaliyomo ndani ya mwanamke kwa kumtazama muonekano wake usoni ni rahisi kuliko mwanaume ambaye anatajwa kuwa na uwezo wa kuficha mawazo yake. Muongozo huo wa kitaalamu wa kumtambua mwanamke anayekaribia kukuacha ni kazi rahisi, ambayo inaweza kuanzia kwenye kona ya mazoea ya tabia zake za kila siku kwenye uhusiano wa kimapenzi. Ni imani yangu kuwa kila mwanaume anamfahamu mpenzi wake katika sura mbili za chuki na furaha yake. Atakuwa mwanaume wa ajabu ambaye atarudi nyumbani kwake na kushindwa kusoma sura ya mkewe na kujua kama ...

Zijue sababu za ugumba kwa wanawake

Image
Ugumba ni nini ? Hii ni hali ya wapenzi au mke na mume kutopata ujauzito. Ugumba unaweza kua primary infertility yaani mtu hajawahi kubeba mimba kabisa   tangu azaliwe au secondary infertility yaani mtu ambaye amewahi kuzaa lakini kwa sasa ameshindwa kubeba ujauzito. utafiti uanonyesha katika kila ndoa tano au mahusiano matano ya kimapenzi basi uhusiano mmoja una matatizo ya uzazi ya kushindwa kuzaa. Hali hii imekua ikiongezeka kadri miaka inavyosonga mbele kwa sababu mbalimbali kama mionzi ya mawasiliano yaani wi-fi , magonjwa mapya ya binadamu na kadhalika. Kwa wanawake utafiti mpya unasema uwezo wao wa kubeba mimba unaanza kupungua baada ya miaka 30 ya umri kutokana na kuanza kuishiwa nguvu kwa viungo vya uzazi. Ugumba una vyanzo vingi sana ambavyo vingine havifahamiki mpaka leo  lakini hebu tuone vyanzo muhimu vya ugumba. Utoaji wa mimba. Huenda hichi ndio kitakua chanzo kikuu cha ugumba miaka ijayo kwani siku hizi kila karibia kila mwanamke ana sababu za kutoa mim...

Baadhi ya Sababu Kwanini Tunaingia Kwenye Ndoa na Watu Wasio Sahihi

Image
Tendo la Ngono; Hili inapokua mapema ni kama kulisha kuku wa kisasa. Inafanya mahusiano yakue haraka bila kuwa na uimara au ubora wenye virutubisho vyenye ladha. : . Ngono ya mapema inatengeneza kitu kwa kitaalamu kinaitwa GMR - Genetically Modified, Relationship au Early maturing. Badala ya kifikiria jinsi ya kufanya mahusiano yawe bora, mtaanza kufikiri namna ya kufanya se..x vizuri zaidi mtakapokutana next time. : . Badala ya kutizama kama partner wako anafaa kuwa mume au mke, utaanza kutizama kama partner wako yuko vizuri au vibaya kitandani. Baada ya kupanga pamoja future yenu, mtakua mkipanga pamoja style za se....x basi, kama vile mnajiandaa kutengeneza video za ngono. Money (Pesa): Ndio maana maandiko yanasema pesa ndio shina la kila mabaya (1 Timothy 6:10)...pesa zinaweza zikakufanya uoe au uolewe na mtu asie sahihi. : . Mathalani, mwanaume anapokua na pesa, wanawake wapenda pesa tu wataanza kujitokeza na kujigonga kwake, itaongeza chances za yeye kuoa wale wanaopenda pesa ...