Mke wangu Ananiambia Anatongozwa Sana, Nifanyeje?

Mke wangu amenishangaza sana baada ya kuniambia kuwa akiwa kazini au mizunguko huko mtaani kuwa anatongozwa sana na wanaume mbali mbali lakini eti anawakataa wote....

Maswali yangu
Wataalam wa mambo hivi Inapofikia hatua mke wako wandoa anakwambia hivyo ina maana gani?
Hivi Kweli Mwanamke anaweza kwa siku atongozwe na wanaume watano na kuwakataa wote?

Comments

Popular posts from this blog

Zitambue DALILI za Mwanamke Anayetaka Kuachana Nawe Katika Mahusiano

Kanuni za kuchagua mpenzi sahihi katika mahusiano